Wilaya ya Divo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Divo (far.: département de Divo) ni moja kati ya wilaya 4 za Mkoa wa Sud-Bandama nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kusini- mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 319.262. [1] Makao makuu yako Divo (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Divo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |