Wilaya ya Bloléquin
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Bloléquin (far.: département de Bloléquin) ni moja kati ya wilaya 4 za Mkoa wa Moyen-Cavally nchini Cote d'Ivoire. Iko katika magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 93.758. [1]
Makao makuu yako Bloléquin (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bloléquin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |