Wilaya ya Bouaké
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Bouaké (far.: département de Bouaké) ni moja kati ya wilaya 7 za Mkoa wa Vallée du Bandama nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 588.498. [1] Makao makuu yako Bouaké (mji).
Marejeo[hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bouaké kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |