Wilaya ya Mankono
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Mankono (far.: département de Mankono) ni moja kati ya wilaya 4 za Mkoa wa Worodougou nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 191.494. [1] Makao makuu yako Mankono (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mankono kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |