Wilaya ya San-Pédro
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya San-Pédro (far.: département de San-Pédro) ni moja kati ya wilaya 5 za Mkoa wa Bas-Sassandra nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kusini-magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 422.204. [1] Makao makuu yako San-Pédro (mji).
Marejeo[hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya San-Pédro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |