Wilaya ya Odienné
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Odienné (far.: département de Odienné) ni moja kati ya wilaya 4 za Mkoa wa Denguélé nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kaskazini-magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 173.717. [1] Makao makuu yako Odienné (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Odienné kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |