Mkoa wa Sud-Comoé
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Sud-Comoé |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Sud-Comoé katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 5°30′N 3°15′W / 5.5°N 3.25°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 4 |
| Mji mkuu | Aboisso |
| Eneo | |
| - Mkoa | 7.619 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 459.367 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa Sud-Comoé (far.: Région du Sud-Comoé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kusini- mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 459.367. [1]
Kuna wilaya 4 ambazo ni
Makao makuu yako Aboisso.
Marejeo [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sud-Comoé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |