Wilaya ya Toumodi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Toumodi (far.: département de Toumodi) ni moja kati ya wilaya 5 za Mkoa wa Lacs nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 105.645. [1] Makao makuu yako Toumodi (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Toumodi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |