Wilaya ya Sinfra
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Sinfra (far.: département de Sinfra) ni moja kati ya wilaya 3 za Mkoa wa Marahoué nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 170.015.[1] Makao makuu yako Sinfra (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Sinfra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |