Wilaya ya Tiassalé
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Tiassalé (far.: département de Tiassalé) ni moja kati ya wilaya 7 za Mkoa wa Lagunes nchini Cote d'Ivoire. Iko katika Kusini ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 176.041. [1] Makao makuu yako Tiassalé (mji).
Marejeo[hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Tiassalé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |