Wilaya ya Zouan-Hounien
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Zouan-Hounien (far.: département de Zouan-Hounien) ni moja kati ya wilaya 6 za Mkoa wa Montagnes nchini Cote d'Ivoire. Iko katika magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 92.943. [1] Makao makuu yako Zouan-Hounien (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Zouan-Hounien kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |