Wilaya ya Séguéla
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Séguéla (far.: département de Séguéla) ni moja kati ya wilaya 4 za Mkoa wa Worodougou nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 153.182. [1] Makao makuu yako Séguéla (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Séguéla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |