Wilaya ya Bangolo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Bangolo (far.: département de Bangolo) ni moja kati ya wilaya 6 za Mkoa wa Montagnes nchini Cote d'Ivoire. Iko katika magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 132.942. [1]
Makao makuu yako Bangolo (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bangolo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |