Wilaya ya Grand-Bassam
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Grand-Bassam (far.: département de Grand-Bassam) ni moja kati ya wilaya 4 za Mkoa wa Sud-Comoé nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kusini- mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 136.891. [1] Makao makuu yako Grand-Bassam (mji).
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Grand-Bassam kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |