Mkoa wa Moronou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Mkoa wa Moronou
Mahali paMkoa wa Moronou
Mahali paMkoa wa Moronou
Mahali pa Mkoa wa Moronou (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lacs
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Lacs
Serikali[1]
 - Prefect Nemlin Houande Henriette Epse Diahi Nessero
 - Rais wa Baraza Aka Amanan Véronique
Eneo[2]
 - Jumla 5,570 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 352,616
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Moronou (kwa Kifaransa: Région du Moronou) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katikati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bongouanou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 352,616.

Moronou kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Moronou" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.