Wilaya ya Guéyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Guéyo (wilaya))


auto
Wilaya ya Guéyo
Mahali paWilaya ya Guéyo
Mahali paWilaya ya Guéyo
Eneo la Wikaya ya Guéyo.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Bas-Sassandra
Mkoa Nawa
Serikali[1]
 - Prefect Kouamé Réné Famy
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 83,680
GMT (UTC+0)

Wilaya ya Guéyo (kwa Kifaransa: département De Guéyo) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Nawa ulioko Magharibi mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 83,680.

Makao makuu ya eneo hilo ni Guéyo.

Wilaya ya Guéyo sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.