Wikipedia ya Kiyoruba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia ya Kiyoruba

Wikipedia ya Kiyoruba (kwa Kiyoruba: Wikipéédíà Yorùbá) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiyoruba. Tarehe 19 Septemba 2008, Wikipedia hiyo ilifikisha makala 6,054 na tarehe 6 Septemba 2021 makala 33,457. Hivyo ni Wikipedia ya 107 kwa ukubwa. Pia, ni moja kati ya Wikipedia ya lugha za Kiniger-Kongo zenye makala zaidi ya 20,000, nyingine yake ni hii Wikipedia ya Kiswahili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiyoruba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.