Wikipedia ya Kikroatia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kikroatia

Wikipedia ya Kikroatia (Kikroatia: Wikipedija na hrvatskom jeziku) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kikroatia. Wikipedia ya Kikroatia ilianzishwa mnamo tar. 16 Februari 2003. Toleo hili lina zaidi ya makala 59,000,[1] na kuifanya iwe Wikipedia ya 36 ukubwa wa hesabu ya wingi wa makala.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Glavna stranica (Croatian). Wikipedia. Wikimedia Foundation. Iliwekwa mnamo 2009-04-26.
  2. List of Wikipedias. Wikimedia Meta-Wiki. Wikimedia Foundation. Iliwekwa mnamo 2009-04-26.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kikroatia ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kikroatia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.