Wikipedia ya Kifini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kifini
Kisarahttp://fi.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKifini
MmilikiWikimedia Foundation

Wikipedia ya Kifini ni tole la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kifini. Kwa hesabu ya makala, hii ni Wikipedia ya 13 kwa ukubwa na wingi wa makala zaidi ya 199,000, zilizofikishwa mnamo tar. 3 Aprili 2009.

Mradi wa Wikipedia ya Kifini, ulianzishwa mwishoni mwa mwaka wa 2002, lakini ilibaki na ngazi iliododa hadi hapo ilipofika mwaka wa 2003. Kasi ya kukuza mradi huu iliongozeka baada ya kubadilishwa kwa bidhaa pepe ya MediaWiki kuwa katika hali ya III na hiyo ilikuwa mwishoni mwa mwezi Novemba 2003, na ikaendelea kuongezeka hadi kunako mwaka wa 2004.

Malengo[hariri | hariri chanzo]

  • 200,000 makala - 12 Aprili 2009
  • 100,000 makala - 11 Februari 2007
  • 50,000 makala - 21 Februari 2006
  • 15,000 makala - 9 Februari 2005
  • 5,000 makala - Aprili 2004
  • 1,000 makala - Septemba 2002

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kifini ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kifini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.