Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia ya Kirusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia ya Kirusi

Wikipedia ya Kirusi (Kirusi: Русская Википедия) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kirusi. Mnamo tar. 16 Agosti 2006, Wikipedia ya Kirusi imefikisha makala 100,000. Mnamo tar. 29 Novemba 2006, ilizawadiwa "Tuzo ya Runet" (Премия Рунета) katika kundi la sayansi na elimu.[1] Kunako tar. 17 Machi 2008, imefikisha makala 250,000 na mnamo tar. 19 Mei 2008, imekuwa Wikipedia ya 10 kwa ukubwa.

Mnamo tar. 25 Februari 2010, Wikipedia ya Kirusi imepita idadi ya makala 500,000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Russian Wikipedia's press release on Runet Prize (November 2006)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-03-02. Iliwekwa mnamo 2009-04-20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kirusi ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kirusi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.