Wikipedia ya Kifaransa
Mandhari
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
---|
Wikipedia ya Kifaransa (Kifaransa:Wikipédia francophone, Wikipédia en français) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kifaransa, inaandikwa Wikipédia. Wikipedia ya Kifaransa ilianzishwa mnamo mwezi Machi, 2001. Toleo hili lina makala zaidi ya lakhi 750,000 kwa mwezi wa Januari, 2009, na kuifanya iwe toleo la Wikipedia ya tatu kwa ukubwa baada ya Wikipedia ya Kiingereza na Wikipedia ya Kijerumani. Hata hivyo, ni Wikipedia ya kwanza kwa ukubwa katika orodha ya Lugha za Kirumi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Wikipedia ya Kiingereza Rahisi
- Wikipedia ya Kijerumani
- Wikipedia ya Kiingereza
- Wikipedia ya Kihispania
- Wikipedia ya Kiwolofu
- Wikipedia ya Kiyoruba
- Wikipedia ya Kilingala
- Wikipedia ya Kizulu
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kifaransa) French Wikipedia
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kifaransa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |