Wikipedia ya Kichina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kichina
Kisarahttp://zh.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKichina
MmilikiWikimedia Foundation

Wikipedia ya Kichina (Kichina: 中文維基百科/中文维基百科) ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kichina. Wikipedia hii ilianzishwa mnamo mwezi wa Oktoba katika mwaka wa 2002. Wikipedia hii ina makala zaidi ya 250,000 kwa mwezi wa Aprili 2009.

Mtandao huu ulizuiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China[1] Ina wasimamizi 87, wakiwemo 29 kutoka China Bara, 18 kutoka Taiwan, na 15 kutoka Hong Kong.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Schwankert, Steven. "Wikipedia Blocked in China Again", IDG News via PCworld, 2007-09-06. Retrieved on 2008-01-26. Archived from the original on 2007-11-23. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kichina ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kichina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.