Wikipedia ya Kivietnamu
Mandhari
Kisara | http://vi.wikipedia.org/ |
---|---|
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kivietnamu |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Kivietnamu (Kivietnamu: Wikipedia tiếng Việt) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kivietnamu. Wikipedia hii ilianzishwa mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 2002, lakini haikupata michango thabiti hadi hapo ilipokuja kuazishwa upya tena mnamo mwezi wa Oktoba katika mwaka wa 2003.[1]
Na kwa mwezi wa Agosti 2008, imefikisha zaidi ya makala 50,000 – lengo lilifikiwa mnamo tar. 26 Agosti – zaidi ya makala 432 zilitungwa na maboti.[2] Mradi huu ukotofauti kidogo na Wikipedia zingine kwa kuwa na orodha kubwa ya watumiaji waliojisajiri hadi kupita kiasi cha makala, ingawa kwa sasa ni miongoni mwa Wikipedia zinakua haraka sana.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Zachte, Erik. "Wikipedia Statistics Vietnamese". Wikimedia Statistics. Wikimedia Foundation. Iliwekwa mnamo 2008-10-28.
{{cite web}}
: More than one of|author=
na|last=
specified (help); Text "2008-07-18" ignored (help) - ↑ Data compiled using Escaladix's created articles list Ilihifadhiwa 8 Mei 2008 kwenye Wayback Machine. and a list of bots at the Vietnamese Wikipedia.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kivietnamu) Vietnamese Wikipedia
Wikipedia ya Kivietnamu ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kivietnamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |