Wikipedia ya Kikorea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia ya Kikorea
Wikipedia-logo-v2-ko.png
"Wikipedia - the encyclopedia that belongs to us all."

Wikipedia ya Kikorea ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kikorea. Ilianzishwa mnamo mwezi wa Oktoba, 2002, na kufikisha idadiki ya makala elfu kumi mnamo tar. 4 Juni katika mwaka wa 2005.[1] Na kwa tar. 15 Desemba ya 2010, imefikisha zaidi ya makala 150,000 na kuifanya iwe Wikipedia ya 21 kwa ukubwa wa hesabu ya wingi wa makala.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Meta Milestones Page (Web) (English). Wikimedia Foundation Inc. (2005). Iliwekwa mnamo 2007-09-06.
  2. List of Wikipedias (Web) (English). Wikimedia Foundation Inc. (2008). Iliwekwa mnamo 2007-09-06.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia ya Kikorea ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kikorea kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.