Wikipedia ya Kireno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia ya Kireno
The Main Page of the Portuguese Wikipedia.

Wikipedia ya Kireno (Kireno: Wikipédia em português) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kireno. Inaandikwa Wikipédia, kwa Kireno. Hii ilikuwa toleo la tano la Wikipedia zilizoanzishwa mwezi wa Juni, 2001. Hii ni Wikipedia ya nane kwa ukubwa na hesabu ya wingi makala. Imetunga zaidi ya makala 473,396 kwa tar. 19 Aprili 2009.

Kuanzia mwaka 2004, toleo hili lilikuwa haraka sana. Wakati wa mwezi wa Mei katika mwaka wa 2005, ikazipita Wikipedia zote mbili, yaani, ya Kihispania na Kiitalia. Kwa ufananisho, kunako Mei, 2004 ilikuwa Wikipedia ya 17 kwa wingi wa makala.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kireno ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kireno kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.