Wikipedia ya Kikatala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia ya Kikatala
The Main Page of the Catalan Wikipedia.

Wikipedia ya Kikatala (Kikatala: Viquipèdia) ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kikatala. Wikipedia hii ilianzishwa mnamo tar. 16 Machi katika mwaka 2001 na imefikisha makala 150,000 kunako mwezi wa Desemba 2008. Wikipedia hii iliiumbwa mda mchache baada ya kutoka kwa toleo la Wikipedia isiyo ya Kiingereza (Wikipedia ya Kijerumani).

Licha ya kuwa ya pili kuumbwa baada ya Wikipedia ya Kijerumani, kwa takriban miezi miwili ilikuwa Wikipedia pekee isiyo ya Kiingereza kusheheni makala nyingi tangu kuanzishwa.[1] Na kwa katikati ya mwaka wa 2008, Wikipedia ya Kikatala ikawa ndiyo Wikipedia kubwa katika lugha za nchi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viquipèdia:Vint mil articles en català (Catalan). Wikipedia. Wikimedia Foundation (2005-12-06). Iliwekwa mnamo 2006-06-24.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kikatala ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kikatala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.