Wikipedia ya Kialbania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kialbania
Kisarahttp://sq.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa kamusi elezo ya internet
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKialbania
MmilikiWikimedia Foundation

Wikipedia ya Albania (Kialbania: Wikipedia shqip) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kialbania. Wikipedia hii, ilianzishwa mnamo tar. 12 Oktoba 2003. Na kwa tar. 22 Aprili 2008, Wikipedia hii imevuka idadi ya makala zaidi ya 20,000[1][2]na ni Wikipedia ya 52 kwa ukubwa wa hesabu ya wingi wa makala.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kialbania ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru