Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia ya Kiurdu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kiurdu
Kisarahttp://ur.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKiurdu
MmilikiWikimedia Foundation

Wikipedia ya Kiurdu (kwa Kiurdu: اردو ویکیپیڈیا) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiurdu. Ilianzishwa mnamo Januari 2004.

Maendeleo[hariri | hariri chanzo]

 • 150,000 makala - 23 Novemba 2019
 • 125,000 makala - Desemba 2017
 • 100,000 makala - 29 Desemba 2015
 • 75,000 makala - 12 Agosti 2015
 • 50,000 makala - 24 Aprili 2014
 • 40,000 makala - 2014
 • 20,000 makala - 18 Oktoba 2012
 • 10,000 makala - 29 Machi 2009
 • 5,000 makala - 15 Machi 2007
 • 2,000 makala - 13 Agosti 2006
 • 1,000 makala - 19 Juni 2006

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kiurdu ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiurdu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.