Wikipedia ya Kiindonesia
Mandhari
Wikipedia ya Kiindonesia au Wikipedia bahasa Indonesia ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiindonesia. Wikipedia ya Kiindonesia, imekuwa ya tatu kwa ukuaji wa haraka katika orodha ya Wikipedia za lugha za Asia baada ya Wikipedia ya Kichina na Kijapani, na ndiyo kubwa katika nchi zile zinazoendelea (2006) [1].
Na kwa mwezi wa Februari katika mwaka wa 2009, kuliwa na zaidi ya makala 100,000 katika mradi huo wa Wikipedia kwa Kiindonesia.
Malengo
[hariri | hariri chanzo]- 1,000 makala - Mar 16, 2004
- 10,000 makala - 31 Mei 2005
- 50,000 makala - Feb 1, 2007
- 100,000 makala - Feb 21, 2009
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CNET Asia Fastest Growing of Indonesian Wikipedia". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-03. Iliwekwa mnamo 2009-05-07.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo] Wikipedia ya Kiindonesia ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiindonesia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |