Wikipedia ya Kiromania
Mandhari
Wikipedia ya Kiromania (kifupi: ro.wiki au ro.wp[1]; kwa Kiromania: Wikipedia în limba română) ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kiromania.
Ilianzishwa mnamo mwezi wa Juni 2003, toleo hili lina makala takriban 100,000 (kwa mwezi wa Januari 2008) na ndiyo Wikipedia ya 16 kwa ukubwa. Mnamo mwezi wa Desemba 2004, watumiaji katika Wikipedia ya Kiromania walianza mjadala kuhusu kuanzisha ukurasa wa kwao wenyewe wa Wikimedia, Asociaţia Wikimedia România.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The article on this matter on the Romanian Wikipedia (Kiromania)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo] Wikipedia ya Kiromania ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiromania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |