Wikipedia ya Kiukraini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Wikipedia ya Kiukraini
Wikipedia-logo-v2-uk.svg

Wikipedia ya Kiukraini (Kiukraini: Українська Вікіпедія au Ukrayins’ka Vikipediya) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiukraini. Makala yao ya kwanza iliandikwa mnamo tar. 30 Januari 2004. Mnamo tar. 1 Oktoba 2005, imefikisha makala 20,000 na ndiyo Wikipedia ya 15 kwa ukubwa . Na kwa tar. 28 Machi ya 2008, imefikisha zaidi ya makala 100,000.

Malengo[hariri | hariri chanzo]

 • 30 Januari 2004 — makala ya kwanza (Atom)
 • 4 Aprili 2004 — 1,000 makala
 • 1 Oktoba 2005 — 20,000 makala
 • 15 Oktoba 2006 — 30,000 makala
 • 12 Novemba 2006 — 40,000 makala
 • 16 Januari 2007 — 50,000 makala
 • 17 Mei 2007 — 60,000 makala
 • 9 Septemba 2007 - 70,000 makala
 • 13 Desemba 2007 - 80,000 makala
 • 24 Januari 2008 - 90,000 makala
 • 28 Machi 2008 - 100,000 makala
 • 13 Julai 2008 - 120,000 makala
 • 21 Desemba 2010 - 250,000 makala

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia ya Kiukraini ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiukraini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.