Wikipedia ya Kiingereza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia ya Kiingereza
Logo of the English Wikipedia
The Main Page of the English Wikipedia on 31 Januari 2009

Wikipedia ya Kiingereza ni toleo la kamusi elezo la lugha ya Kiingereza la Wikipedia na ndilo toleo la kwanza kutolewa. Ilianzishwa mnamo tar. 15 Januari 2001, ndiyo Wikipedia toleo lililokubwa kuliko matoleo yote. Ilivyofika mwezi Agosti ya mwaka wa 2008, Wikipedia ya Kiingereza imefikisha makala milioni 2.5 katika Wiki hiyo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiingereza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.