Wikipedia ya Kiburma
Mandhari
Kisara | http://my.wikipedia.org/ |
---|---|
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi ya Interneti |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kiburma |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Kiburma ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiburma. Wikipedia hiyo ilianzishwa mnamo Julai 2004.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo] Wikipedia ya Kiburma ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiburma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |