Nenda kwa yaliyomo

Kikroatia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugha ya Kikroatia
Kinazungumzwa katika: Kroatia (milioni 4); Pia kuna wazungumzaji katika Australia, Kanada, Uingereza, Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Argentina, Brazil, na nchi nyingine.
Waongeaji: zaidi ya milioni 5.6
Kama lugha rasmi:
Nchi: Kroatia
Uianishaji wa kiisimu:
Lugha za Kihindi-Kiulaya
   Lugha za Kislavoni
      Kislavoni cha Kusini
         Kislavoni cha Mashariki Kusini
            Lugha ya Kikroatia

Kikroatia (kwa Kikroatia: hrvatski jezik; kwa Kiingereza: Croatian language) ni tawi la Kiserbokroatia, moja kati ya lugha za Kislavoni, za jamii ya Lugha za Kihindi-Kiulaya, linalozungumzwa zaidi katika nchi ya Kroatia.

Kikroatia kilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kislovenia, Kiserbia na Kimasedonia.

Kikroatia "Baška" 1100.
Kikroatia 1380-1400.

Kufuatana na tofauti za utamaduni na madhehebu, Kiserbokroatia kinaandikwa kwa alfabeti ya Kilatini upande wa Magharibi katika eneo la Kroatia na kwa alfabeti ya Kikirili upande wa Mashariki katika eneo la Serbia.

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikroatia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.