Kislovenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kislovenia ni moja kati ya lugha za Kislavoni, za jamii ya Lugha za Kihindi-Kiulaya, kinachozungumzwa na watu milioni 2.5, zaidi katika nchi ya Slovenia.

Kislovenia kilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kiserbia, Kikroatia, na Kimasedonia.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kislovenia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.