Nenda kwa yaliyomo

Funguvisiwa la Zanzibar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Visiwa vya Zanzibar)

Funguvisiwa la Zanzibar ni fungu la visiwa ambalo linapatikana katika Bahari ya Hindi.

Funguvisiwa hilo linaunda nchi ya Zanzibar ambayo ni sehemu mojawapo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Vikubwa kati ya visiwa hivyo ni Unguja na Pemba. Vingine ni

Wataalamu wengine wanahusisha na funguvisiwa hilo kisiwa cha Mafia na vingine vingi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]