Kisiwa cha Fundo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Majiranukta kwenye ramani: 5°02′19″S 39°39′43″E / 5.0385975°S 39.6619686°E / -5.0385975; 39.6619686Fundo ni kati ya visiwa vya mkoa wa Pemba Kaskazini, Zanzibar, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Ni kisiwa chenye urefu wa kilomita zaidi ya 9 na upana wa takriban kilomita 1 kinachotazama Wete kwenye kisiwa kikuu cha Pemba. Kuna wakazi wapatao 1600 wanaokalia kata ya Fundo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]