Kisiwa cha Bawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kisiwa cha Bawe ni kisiwa kimojawapo cha funguvisiwa la Zanzibar (Tanzania) ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Hakina wakazi ila kinatembelewa na watalii kikiwa chini ya Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]