Sunda Rapids

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sunda Rapids ni sehemu ya maporomoko kwenye mwendo wa Mto Ruvuma unaofanya mpaka baina ya Tanzania Kusini na Msumbiji. Mto Ruvuma unapitia bonde jembamba ambako maji yake yalikata njia katika miamba yakiwa hapa na mwendo wa mbio.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Through a land of giants Archived 21 Oktoba 2015 at the Wayback Machine., taarifa juu ya safari kwenye Mto Ruvuma kupitia Sunda Rapids, Africa geographic Magazine, 8 May 2015

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]