16 Septemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Septemba 16)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Septemba ni siku ya 259 ya mwaka (ya 260 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 106.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1853 - Albrecht Kossel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1910
- 1888 - Frans Eemil Sillanpää, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1939
- 1893 - Albert Szent-Györgyi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1937
- 1942 - Beverly Aadland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1943 - James Alan McPherson, mwandishi kutoka Marekani
- 1964 - Molly Shannon, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1987 - Smosh, yaani Anthony Padilla, mchekeshaji wa mtandaoni kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 655 - Mtakatifu Papa Martin I, mfiadini
- 1087 - Mwenye heri Papa Viktor III
- 1846 - Mtakatifu Andrea Kim Taegon, padri mfiadini kutoka Korea
- 1932 - Sir Ronald Ross, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1902
- 2016 - Edward Albee, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer miaka ya 1967, 1976 na 1992
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Korneli, na Sipriani, Eufemia wa Kalsedonia, Abondi na wenzake, Vikta, Felisi na wenzao, Prisko wa Nocera, Ninian, Rogeli na Abdalah, Ludmila, Editha, Vitali wa Savigny, Martino wa Huerta, Yohane Macias n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 7 Machi 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |