Nenda kwa yaliyomo

Martino wa Huerta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Martino wa Huerta (Deza, 1140 hivi - Sotoka de Tajo, 1213) alikuwa abati wa monasteri ya Wasitoo nchini Hispania ambaye alichaguliwa kuwa askofu wa Siguenza akajitahidi sana kurekebisha maadili ya wakleri (1191-1192)[1]

Baadaye alirudi katika monasteri yake alipoishi hadi kufariki dunia[2][3][4][5].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 16 Septemba[6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.