Nenda kwa yaliyomo

Prisko wa Nocera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Prisko wa Nocera (aliishi karne ya 3 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa Nocera Inferiore, Italia Kusini [1].

Paulino wa Nola alimsifu kwa ushairi kama ifuatavyo:

Fonte sacrata dies illuxerat illa beati

natalem Prisci referens, quem te Nola celebrat
quamvis ille alia nucerinus Episcopus
Urbe sederit.

Carme XIX, vv. 515-518

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Septemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Gennaro Orlando, Storia di Nocera de' Pagani, vol. 1, Napoli (NA), 1884, ISBN non esistente.
  • Mario Vassalluzzo, S. Prisco e successori nella plurimillenaria Chiesa Nocerina, In Cammino, 1994, ISBN non esistente.
  • Roberto Farruggio, Sulle orme dello spirito santo. Nel bimillenariocammino della chiesa priscana, Editrice Gaia, 2007, ISBN non esistente.
  • Agostino Russo, Egidio Valcaccia e Alessandra Cacace e Franco Gargiulo, Il restauro della statua di San Prisco vescovo cenni storici sulla vita del santo, N. Longobardi, 2012, ISBN 9788880903994.
  • Antonio Braca e Vincenzo Piccolo, La Cattedrale di San Prisco in Nocera Inferiore, 1º luglio 2023, ISBN 9788894503616.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.