Saint-Pierre na Miquelon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Saint-Pierre-et-Miquelon
Bendera ya Saint-Pierre-et-Miquelon

Saint-Pierre and Miquelon (Kifaransa: Saint-Pierre-et-Miquelon) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa (Collectivité d'outre mer) ambalo ni funguvisiwa mbele ya pwani la Kanada katika Atlantiki.

Visiwa vikubwa zaidi ni Saint-Pierre (26 km²), Miquelon (110 km²), Langlade (91 km²) shalafu visiwa vingine vidogo vyenye eno la jumla 242 km². Miquelon na Langlade vilikuwa visiwa viwili lakini leo vimeungwa kwa kanda ya nchi kavu vyaitwa pamoja kama "Miquelon".

Jumla ya wakazi ni watu 6,316 (Saint-Pierre: wakazi 5.618, Miquelon na Langlade: wakazi 698).

Visiwa hii ni mabaki ya koloni kubwa ya zamani iliyoitwa "Nouvelle-France" (Ufaransa Mpya) na kuenea katika Kanada.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.