Orodha ya lugha za Urusi
Mandhari
Orodha hii inaorodhesha lugha za Urusi:[1][2][3][4]
- Kiabaza
- Kiadyghe
- Kiaghul
- Kiakhvakh
- Kialeut
- Kialeut ya Mednyj
- Kialtai ya Kaskazini
- Kialtai ya Kusini
- Kialutor
- Kiandi
- Kiaramu Mpya ya Bohtan
- Kiarchi
- Kiavar
- Kiazeri ya Kaskazini
- Kibagvalal
- Kibashkort
- Kibezhta
- Kibotlikh
- Kiburiat
- Kichamalal
- Kichechen
- Kichukchi
- Kichulym
- Kichuvash
- Kidargwa
- Kidido
- Kidolgan
- Kidomari
- Kienets ya Msituni
- Kienets ya Tambarare
- Kierzya
- Kieven
- Kievenki
- Kifini
- Kighodoberi
- Kigilyak
- Kihinukh
- Kihunzib
- Kiingrian
- Kiingush
- Kiitelmen
- Kikabardia
- Kikalmyk-Oirat
- Kikamas
- Kikarachay-Balkar
- Kikaragas
- Kikarata
- Kikareli
- Kikerek
- Kiket
- Kikhakas
- Kikhanty
- Kikhvarshi
- Kikomi
- Kikomi-Permyak
- Kikomi-Zyri
- Kikorea
- Kikoryak
- Kikumyk
- Kilak
- Kilezgi
- Kilivvi-Kareli
- Kiludi
- Kimansi
- Kimari ya Magharibi
- Kimari ya Mashariki
- Kimoksha
- Kimongoli ya Halh
- Kinanai
- Kinegidal
- Kinenets
- Kinganasan
- Kinogai
- Kioroch
- Kiorok
- Kiosseti
- Kiromani ya Vlax
- Kirusi
- Kirutul
- Kisaami ya Akkala
- Kisaami ya Kildin
- Kisaami ya Skolt
- Kisaami ya Ter
- Kiselkup
- Kiserbia
- Kishor
- Kislavoniki
- Kitabassaran
- Kitat ya Kiislamu
- Kitat ya Kiyahudi
- Kitatar
- Kitatar ya Siberia
- Kitindi
- Kitsakhur
- Kituva
- Kiudihe
- Kiudmurt
- Kiulch
- Kiveps
- Kivod
- Kiyakut
- Kiyiddish ya Mashariki
- Kiyug
- Kiyukaghir ya Kaskazini
- Kiyukaghir ya Kusini
- Kiyupik ya Naukan
- Kiyupik ya Siberia ya Kati
- Kiyupik ya Sirenik
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Constitution of the Russian Federation - Chapter 3. The Federal Structure, Article 68". constitution.ru. Iliwekwa mnamo 22 Aprili 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Знание иностранных языков в России [Knowledge of foreign languages in Russia] (kwa Kirusi). Levada Center. 16 Septemba 2008. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Владение иностранными языками [Command of foreign languages] (kwa Kirusi). Levada Center. 28 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Иностранные яазики: Август 2023 года [International languages August 2023] (kwa Kirusi). Levada Center. 14 Septemba 2023. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya lugha za Urusi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |