Kidomari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidomari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Iran na nchi nyingi nyingine za Mashariki ya Kati inayozungumzwa na Waromani. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidomari nchini Iran imehesabiwa kuwa watu 1,340,000. Idadi ya wasemaji wote duniani imekaribia milioni nne, baina yao ni wasemaji 2,280,000 nchini Misri (2006), wasemaji 202,000 nchini Uhindi (2000), wasemaji 33,000 nchini Libya (2006), wasemaji 28,500 nchini Uturuki (1985) na wasemaji wengine mijini mwa Sudan. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidomari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidomari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.