Kinegidal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinegidal ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi inayozungumzwa na Wanegidal. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kinegidal imehesabiwa kuwa watu 74 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinegidal iko katika kundi la Kitungusi ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinegidal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.