Nenda kwa yaliyomo

Kiarchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiarchi ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Waarchi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiarchi imehesabiwa kuwa watu 970. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarchi iko katika kundi la Kilezgiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarchi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.