Kikarachay-Balkar
Mandhari
Kikarachay-Balkar ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wakarachay na Wabalkar. Mwaka wa 2010 idadi ya wazungumzaji wa Kikarachay-Balkar imehesabiwa kuwa watu 305,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarachay-Balkar iko katika kundi la Kiturki ya Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikarachay-Balkar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikarachay-Balkar Ilihifadhiwa 14 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikarachay-Balkar katika Glottolog
- lugha ya Kikarachay-Balkar kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikarachay-Balkar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |