Kihunzib

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihunzib ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi na Georgia inayozungumzwa na Wahunzib. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kihunzib nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 1010. Pia kuna wasemaji 410 nchini Georgia (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihunzib iko katika kundi la Kitseziki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihunzib kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.