Kiulch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiulch ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi inayozungumzwa na Waulch. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiulch imehesabiwa kuwa watu 150 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiulch iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiulch kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.